‘Designathon’ mtandaoni
Katika Mradi huu, watoto (miaka 7-12) hubuni usuluhisho wa changamoto inayohusiana na maji.
Mchakato huanza kwa video, na baada ya hapo, kubuni wazo lako na kuchora mchoro wa wazo hilo na baadaye kujenga sampuli yake (kama utapenda).
Mwishoni, watoto huwasilisha uvumbuzi wao kwa wenzao darasani, au nyumbani. Miradi hii inatoa fursa nzuri ya kuwashirikisha watoto katika shughuli za kupata uvumbuzi, kutatua changamoto, kukuza ubunifu, kujenga fikra muhimu na ustadi wa mabadiliko.
Inachukua muda wa dakika 60, lakini unaweza kufanya kwa urahisi kwa kasi yako mwenyewe.
Swahili online project is made possible by our network partner Jenga Hub:
Kwa kushiriki kwenye designathon mtandaoni, unakubali vigezo na masharti yetu.
